Makole Promotions tunaandaa na kuprint Tshirt, Tshirt zetu ni za aina atofauti tofauti kama (RoundNeck, Pollow na zingine za aina tofauti kulingana na matakwa ya mteja.
- Tuna print Full Tshirt kwa Shilingi 15, 000/=Tsh (Tshirt kwetu pamoja na Printing
- Tuna print kwa Shilingi 3, 000/=Tsh (Tshirt za mteja)
- Mteja atalipia gharama ya utengenezwaji wa nembo yake (ScreenDesigning) 20, 000 /Tsh.
Karibuni sana
Tunapatikana
Kijitonyama Akachube Rd.
Makole Promotions
P. O. Box 12277
Dar es Salaam, Tanzania
Hotline: +255 622 303 404
Mobile/WatsApp: 0713 866 200
Email: makolepromotions@gmail.com
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni