Ijumaa, 2 Septemba 2016

HUDUMA ZETU MAKOLE PROMOTIONS

Karibu Makole Promotions kwa huduma bora za Graphic Design pamoja na Printing, huduma zetu ni kama ionekanavyo katika kipeperushi chetu amabapo mchanganuo wetu #Tuna print Tshirt, Vikombe (Mugs) Calendar, Key Holder, Uniform, Keyholder, Pen, Mug, Snap frame, ID Card, Lanyards, Diaries, Bag, Conference folder, Umbrella, Caps, Watch, Alluminium profile.

Katika upande wa Advertising, Makole Promotions tunatengeneza mabango madogo madogo na makubwa ambayo hukaa katika bara bara kwa lengo la kutangaza biashara husika ....lakini pia tunafanya Marketing lengo likiwa ni kumshauri mteja jinsi ya kuongeza namba ya wateja wa bidhaa zake kwa kujitangaza kupitia Graphic Design pamoja na Printing.

Pia tunafanya Branding, kubandika stika katika ofisi, magari, saloon na sehemu zingine iitajikapo lakini pia tuna print Fliers, Brochure, Posters, Paper bag, Bank slip, Calendar, News Paper, Books, Magazine, Company profile, PA Advert, Social media Advert, Lay out and back page designing


Karibu sana 
Tunapatikana 
Kijitonyama Mtaa wa Akachube 
Block #45C138
Tupigie simu # +255 622 303 404 au 0713 866 200

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni