Jumanne, 21 Machi 2017

PROMO MATERIAL

Our Promo Material wee include Designing and Printing

Uniform
KeyHolders
Pen
Mugs
Snap Frame
ID Card
Lanyards
Diaries
Bag
Conference Folder
Printed Umbrella
Cap
Tshirt
Watch EtC..


Jumatano, 8 Machi 2017

T SHIRT PRINTING

Makole Promotions tunaandaa na kuprint Tshirt, Tshirt zetu ni za aina atofauti tofauti kama (RoundNeck, Pollow na zingine za aina tofauti kulingana na matakwa ya mteja.

  • Tuna print Full Tshirt kwa Shilingi 15, 000/=Tsh (Tshirt kwetu pamoja na Printing
  • Tuna print kwa Shilingi 3, 000/=Tsh (Tshirt za mteja)
  • Mteja atalipia gharama ya utengenezwaji wa nembo yake (ScreenDesigning) 20, 000 /Tsh.

Karibuni sana
Tunapatikana
Kijitonyama Akachube Rd.

Makole Promotions
P. O. Box 12277
Dar es Salaam, Tanzania
Hotline: +255 622 303 404
Mobile/WatsApp: 0713 866 200
Email: makolepromotions@gmail.com

Jumatano, 28 Septemba 2016

SOME OF OUR RELATIVE CUSTOMERS


MAKOLE Promotions specializes in providing professional marketing and advertising needs.
The resulting efficiency have allowed to offer exceptional value to our expanding customer base. We also deliver high quality printed products in advertising material for affordable price.


MAKOLE Promotions has grown and diversified into one of the most exciting and innovative brand and out of home media companies in Tanzania. When you talk about quality designing and advertising services, delivery on time, which can be affordable to everyone you talk about us.

If you are not yet advertising  with us, we hope you will consider  us for your next advert project. Press your order with confidence, expect your needs with satisfaction


MAKOLE Promotions designers shape quality concepts, image, day to day creativity design to their customers which lead directly positive impact communication to audience about your product and service provided, Our talented designers will enhance the image of your business and ensure you make profit through advertising with us.

For more information please, Visit our office at
Kijitonyama Next to Kijitonyama Mosque 
Akachube road, Block 138/45C
P. O. Box 12277
Dar es Salaam -Tanzania

Hotline: +255 622 303 404 Mobile: 0713 866 200

Ijumaa, 2 Septemba 2016

UHAKIKA WA HUDUMA ZETU

Ndugu mteja wetu ....Uhuru wa kukwambia 'Free Your Mind With.....us!
ni ubora wetu juu ya umakini na ubora wetu kukuhakikishia kukufanyia kazi nzuri,
Huduma zetu ni Graphic Design pamoja na Kuprint
..Logo za Makampuni (Nembo)
..Branding (Kubandika stika katika ofisi, Saloon, Nyumba, Gari na sehemu zingine penye uhitaji
..Tuna Print vitabu vya risiti za mkono
..Tuna Print Banner kubwa na ndogo

Karibu tukuhudumie
Tunapatika 
Kijitonyama, Mtaa wa Akachube 
Wasiliana nasi +255 622 303 404 au 0713 866 200

HUDUMA ZETU MAKOLE PROMOTIONS

Karibu Makole Promotions kwa huduma bora za Graphic Design pamoja na Printing, huduma zetu ni kama ionekanavyo katika kipeperushi chetu amabapo mchanganuo wetu #Tuna print Tshirt, Vikombe (Mugs) Calendar, Key Holder, Uniform, Keyholder, Pen, Mug, Snap frame, ID Card, Lanyards, Diaries, Bag, Conference folder, Umbrella, Caps, Watch, Alluminium profile.

Katika upande wa Advertising, Makole Promotions tunatengeneza mabango madogo madogo na makubwa ambayo hukaa katika bara bara kwa lengo la kutangaza biashara husika ....lakini pia tunafanya Marketing lengo likiwa ni kumshauri mteja jinsi ya kuongeza namba ya wateja wa bidhaa zake kwa kujitangaza kupitia Graphic Design pamoja na Printing.

Pia tunafanya Branding, kubandika stika katika ofisi, magari, saloon na sehemu zingine iitajikapo lakini pia tuna print Fliers, Brochure, Posters, Paper bag, Bank slip, Calendar, News Paper, Books, Magazine, Company profile, PA Advert, Social media Advert, Lay out and back page designing


Karibu sana 
Tunapatikana 
Kijitonyama Mtaa wa Akachube 
Block #45C138
Tupigie simu # +255 622 303 404 au 0713 866 200